kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Harmorappani msanii gani pekee bongo ambaye alifikisha views million moja kwa muda mfupi zaidi???
Ujue wa bongo mna wiv wa kise**NGE sana,..mnamfananisha mwanamuzik anaelipwa pesa nying kuliko wengne east africa,mwenye hela nying kuliko wote bongo,na anaenunulia watu ma rav4,anaenunulia watu majumba huko south africa nu kuinua vipaj kila siku ,mnaendelea kupambanisha na vitu vya ajab,..achen wivu mazee
Aliemtaja domo nan hapa...kwanza domo ndo nan.mbona unabwabwaja kama mtu asiyejielewa? nani kamfananisha Domo na msanii mwningepine? au nani kamuonea wivu wakati watu tunampongeza?
Nana ina 31M sijui ina miaka mingapi....kuna vitu hakuna msanii atakaefikisha zaidi ya miaka 50 ijayo.
Hahaha afu yule BABU WA KARIAKOO cinderela yake ina watu LAKI NNE miaka zaidi ya KUMI
kibani msanii gani pekee bongo ambaye alifikisha views million moja kwa muda mfupi zaidi???
wapo wengi humu wanaitwa KISANDU CLANsasa miaka nane 8+ viewers 3m unapongeza nini?
Au ni kisandu amekuja na I'd mpya!!!!
9 mother furthering years ago 1.5M kuku wewe.
Unadhani mi nina akili za kitoto Ka zakoMtar post: 23612747 said:Nakuuliza wewe! na bila shaka utakuwa Timu Domo