Mianamke mingine bwana!!


Hebu nipe ID yako kwenye Facebook dada. Nataka niikompee na avatar yako nijue la kufanya!:fish2:
 
Tausi Bujibuji hajamponda wa zamani.
Hebu angalia mwenyewe alivyo mkorofi, kaenda kumu add mwenzake, halafu kwenye wall akabandika na picha ili kuwafitinisha.
ulitokana wapi na mwehu?
Huyu wa sasa ushampima akili akajua siyo juha? Nakutania ..ila ulivyomponda yule wa zamani siyo ustaarabu hata kidogo!
Ukipata chungu kipya usidharau cha zamani...
 

Pole sana....

Inavyoonyesha hapo tatizo kubwa ni maturity... kama watu ni mature, hamuwezi kuanza kuchenjiana simply because picha ipo kwenye social network, unless kama ulikua nude
 
Hiyo ni vita ya akina dada wewe piga kimya poza wakwako wa sasa kwa halua na tende pumzisha kongoro, atapoa tu... ni mambo ya utoto mazee

ila pia ni muhimu umchape huyo umpendae lekcha ya kuacha utoto... HUYO WA ZAMANI, PRETEND KAMA VILE HA-EXIST, MWENYEWE ATAONDOA HIYO PICHA, NI WIVU WA KIKE HUO
 
BHT ..
we acha tu... mi napenda kuhakikisha cha zamani sikitupi jalalani! Nakihifadhi vizuuuri stoo. Kipya kikikorofisha.. basi najua kuna fall back!

Huyu kaona kimwana kipya..hajajua vimbwanga vyake bado!

Infidelity in the making!
 
aafu sijaelewa; kwani huyu kimwana mpya wamefika vipi kufahamiana na X?
 

Pole Buji... Huyo dada ana mapepo, tumuombee roho mtakatifu atulize ukorofi wake...

Lakini.... Ina maana hawa wadada walikuwa wanafahamiana toka kitambo??
 
Hiyo picha kaibadilisha jana usiku. Ni mkorofi na wehu ndio unaomsumbua.

huyo ex anakupenda bado...sasa inabidi ujisimamie kiutuuzima ili usimkwaze mwezio huyo unaetarajia kufunga nae ndoa! ni mashaka hayo , inabidi leo uongozane na mshenga wakati wa kurudi nyumbani!
 
Lakini nawe mkuu bujibuji una speed Last year na leo hii tayari waelekea ndoani..............nikipiga mahesabu ndio kwanza tumeaianza nusu ya pili..........ni mawazo yangu tu!

Hebu kula pause mkuu!
 
hahaha Bujiiii! mzee the Devil you know is better than the Angel you dont know, aa si wanasema old is gold, X wako anashindwa kukuondoa mawazoni na inaonekana bado ana ku miss na ana miss vitu vyako!
 
na huyo girlfriend wako wa sasa alipopelekewa friend request alipokelea nini kama na yeye hakutaka kumchora au kukuchora wewe?

kataka kupima maji kakuta kina kirefu.
 
na huyo girlfriend wako wa sasa alipopelekewa friend request alipokelea nini kama na yeye hakutaka kumchora au kukuchora wewe?

kataka kupima maji kakuta kina kirefu.

na kweli mwambie am-delete na kum-block kabisa ikiwezekana am-report kama kirusi!
 
Kiswahili sio lugha rahisi hata kidogo.
mi hapa umeniacha pale njia panda ya Loleza na Sokomatola
...Unanikumbusha maeneo sio? hapo unataka kuelekea wapi Ghana au majengo kule karibu na legiko???!....duh! sio mchezo!
 

Facebook kunatisha sana, nakumbuka my ex aliwafahamu friends zangu wote kwa kupitia facebook, cha ajabu sasa baada ya kuachana nae akaanza kuwatongoza tena kupitia hiyo hiyo facebook,
 
Huyo x wako ni kiboko.
Alitumia ile kanuni ya njunji u njunjwe
 
..Huwa wanajifanya hawapendi kujua ka-history eti na yeye anataka kuandika yake ndipo tabu inapoanza!!!


Alaaaaaaaah ! ndio maana mgongano wa KIHISTORIA ukatokea hapa.............kumbe!!!!????:A S tongue:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…