Miashoki inaitwaje kwa kingeleza au kisayansi?

Karhumanzira

Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
50
Reaction score
9
1.Wadau nauliza nitajieni kwa kiingereza nataka kuipanda,na itachukua mda gani hadi kufika kimo cha futi 5
2.Pili kuna miti inaitwa Royal Palm inachukua mda gani hadi kufikia futi 6?

Mnijuze nataka kuipanda kiwanjani kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…