ipo ya aina tofauti ila ipo ambayo ukila huku chini hapatulii mpaka patulizwe
hamjawahi kukosekana nyie uliona wapi hata wakununua wameisha hapa mjiniHahahahaha... mulemuleeee mkuu sema tumetumia maneno tofauti tu... sasa ukatupia afu asipatikane wa kukutuliza ndo kesi kama za kubaka ama???? make stimu zikicharuka mhmhmh........
cc Smart911
Mary Jane, sticky icky.
Not my jaaaabMoney Penny bring her more sticky icky.
"No sticks, no stems, no seeds; just the real sticky-icky-icky!"-Snoop Dogg
for me hapana sijawahi nunua hao bitches ila nasemea tu kwa wale waliokosa wanaweza jikuta wanahamia upande huo wa kununua ili kukabiliana na halimhmh... kabisa unanunua ...??????? Huwa mnawaamini vipi hao mnaonunua especially katika suala zima la magonjwa?!
cc Smart911
hatareefor me hapana sijawahi nunua hao bitches ila nasemea tu kwa wale waliokosa wanaweza jikuta wanahamia upande huo wa kununua ili kukabiliana na hali
we ndio boya kweli.......kama umeshawahi kumpa pesa mwanamke basi ndio umeshanunua hivyo!for me hapana sijawahi nunua hao bitches ila nasemea tu kwa wale waliokosa wanaweza jikuta wanahamia upande huo wa kununua ili kukabiliana na hali
hata wasiojiuza wana magonjwamhmh... kabisa unanunua ...??????? Huwa mnawaamini vipi hao mnaonunua especially katika suala zima la magonjwa?!
cc Smart911
vp chai ushakunywa lakiniwe ndio boya kweli.......kama umeshawahi kumpa pesa mwanamke basi ndio umeshanunua hivyo!
Hahaha hah bange bange bangeMoney Penny huyu mchaga hapo alikuwa high hatar anabembea mpaka raa mtangazaj angemuacha tu
Those are just names mkuu, i mean only names.kuna mwenzao huwa anajiita divatheboss sijui juzi hapa nimeshangaa kuona anaomba asaidiwe usd 7000 tu nikashangaa sana
Hahahahayani hapo alikuwa bangi ya kufa mtu ,anajiona yupo king stone na mze Ziggy maley
HahahahaKitukooooooo