Michael Baruti ameacha kazi EA Radio?

Michael Baruti ameacha kazi EA Radio?

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Wadau sijamsikia huyu mshikaji kitambo sana na zembwela jana aliulizwa na msikilizaji m1 hv akatoa jibu tata kwamba kabla ya wao kuja kwenye kipindi hicho kulikua na watu wakaondoka na pia ile sauti ya baruti wakati wanamaliza washaiondoa,Je jamaa ameacha kazi au nivije?
 
ni kweli kaondoka ana kama mwezi na nusu hivi..~!
 
Naskiliza SupaMix hapa,Zembwela anapwaya kinoma,anatema pumba zake kama zamani then anaona kama anashusha mipoint kweli kweli...Baruti alikuwa anambeba sana,kama kweli dogo kaondoka ni pengo kubwa..Zembwela kuna kitu anamiss sijui ni shule au nn.
 
Majungu co mtaji kaka, mm mwnyw nasikiliza supermix daily na kpnd bdo kinanivutia.Zembwela hajapway kihivyo sema 2 ulikua una ham y kumdic!.
 
kila mtu ana mawazo na mtazamo wake mkuu...tatizo la zembela ni shule mkuu...zile pumba anazomwaga wew uzioni? Mshauri mshikaji aende shule kaka.....
 
Ameshamaliza Masters yake sidhani kama ameona ni poa kuongea kwenye radio wakati hujui wAtu wanaMzisikiza ama la..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wadau sijamsikia huyu mshikaji kitambo sana na zembwela jana aliulizwa na msikilizaji m1 hv akatoa jibu tata kwamba kabla ya wao kuja kwenye kipindi hicho kulikua na watu wakaondoka na pia ile sauti ya baruti wakati wanamaliza washaiondoa,Je jamaa ameacha kazi au nivije?

kwa sasa anatangaza radio maria lanch together!
 
Wadau sijamsikia huyu mshikaji kitambo sana na zembwela jana aliulizwa na msikilizaji m1 hv akatoa jibu tata kwamba kabla ya wao kuja kwenye kipindi hicho kulikua na watu wakaondoka na pia ile sauti ya baruti wakati wanamaliza washaiondoa,Je jamaa ameacha kazi au nivije?

Naona na Fadhili haule naye kule capital kasepa.
 
Kwakweli huyu dogo hata mimi nammisi sana, bila yeye kipindi kinapwaya sana
 
kama tv zinahama kutoka analog kwenda digital itashindikana radio presenters tena wenye miguu!
 
Chunguza Kwa Makini Picha za chini utabahini kama kweli Baruti kasepa

EA New.JPG
 
Attachments

  • EA Old.JPG
    EA Old.JPG
    85.9 KB · Views: 157
bado npo wadau mambo ya shule yamenibana kidogo ila soon ntarudi.. nawapenda sana fans wangu hasa wa SUPA MIX...
 
Back
Top Bottom