King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wadau sijamsikia huyu mshikaji kitambo sana na zembwela jana aliulizwa na msikilizaji m1 hv akatoa jibu tata kwamba kabla ya wao kuja kwenye kipindi hicho kulikua na watu wakaondoka na pia ile sauti ya baruti wakati wanamaliza washaiondoa,Je jamaa ameacha kazi au nivije?
kila mtu ana mawazo na mtazamo wake mkuu...tatizo la zembela ni shule mkuu...zile pumba anazomwaga wew uzioni? Mshauri mshikaji aende shule kaka.....Majungu co mtaji kaka, mm mwnyw nasikiliza supermix daily na kpnd bdo kinanivutia.Zembwela hajapway kihivyo sema 2 ulikua una ham y kumdic!.
Wadau sijamsikia huyu mshikaji kitambo sana na zembwela jana aliulizwa na msikilizaji m1 hv akatoa jibu tata kwamba kabla ya wao kuja kwenye kipindi hicho kulikua na watu wakaondoka na pia ile sauti ya baruti wakati wanamaliza washaiondoa,Je jamaa ameacha kazi au nivije?
kwa sasa anatangaza radio maria lanch together!
Wadau sijamsikia huyu mshikaji kitambo sana na zembwela jana aliulizwa na msikilizaji m1 hv akatoa jibu tata kwamba kabla ya wao kuja kwenye kipindi hicho kulikua na watu wakaondoka na pia ile sauti ya baruti wakati wanamaliza washaiondoa,Je jamaa ameacha kazi au nivije?
saa ngapi hicho kipindi?kwa sasa anatangaza radio maria lanch together!
Majungu co mtaji kaka, mm mwnyw nasikiliza supermix daily na kpnd bdo kinanivutia.Zembwela hajapway kihivyo sema 2 ulikua una ham y kumdic!.
bado npo wadau mambo ya shule yamenibana kidogo ila soon ntarudi.. nawapenda sana fans wangu hasa wa SUPA MIX...