Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu anafatilia yani,inamaana anakwenda mpaka huko kwao.angekua anaagiza tu kwa simu vitu visingefanyika angepigwa sana.huku Africa upigaji ndo kitu cha maana kwetu.Mchizi anapenda kwao sana ni comedian
Sadio Mane naye anafanya vitu kama hiviHuyu kaka anapenda kwao kila mara yupo kwao na anasaidia sana kwao jamii ya kwao ni mtu hasahau kwao amewajengea shule watoto bure hakuna ada
Anafurahisha sana na anaongea na kila mtu sokoni sijui wapi kila mara yupo kwao Ghana View attachment 2481728
View attachment 2481729
View attachment 2481730
Alafu anafatilia yani,inamaana anakwenda mpaka huko kwao.angekua anaagiza tu kwa simu vitu visingefanyika angepigwa sana.huku Africa upigaji ndo kitu cha maana kwetu.
Mfano wa kuigwa kujenga shule labda huko kwao Ghana. Hapa TZ tumechoka na kuongeza vyumba vya madarasa, kuchonga madawati na mashimo ya choo.kiukweli jamaa ni mfano wa kuigwa
Mfano wa kuigwa kujenga shule labda huko kwao Ghana. Hapa TZ tumechoka na kuongeza vyumba vya madarasa, kuchonga madawati na mashimo ya choo.
Tunataka kushughulika na equitable access to affordable quality education. Tufanyeje kuwezesha kila mtoto kusoma huko ambapo shule nzima inapata division 1.
Hayo hayawezi kushughulikiwa na mcheza mpira au mchekeshaji mmoja wa USA. Waafrika tunapenda kujishusha na kutegemea misaada.
Hiyo ni shule yake binafsi ya kutengeneza hela, sio msaada wa kushukuriwa na Taifa. Michael Blackson na Sadio Mane hawana hela wala upeo wa kielimu wa kutuzidi Waafrika kutatua matatizo yetu.
Jaribu kumpongeza hata kwa hicho ambacho unachoona kidogo kwako
We umefanya Kipi kwa jamii yako?