Michael Blackson kajenga shule kwao Ghana

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Huyu kaka anapenda kwao kila mara yupo kwao na anasaidia sana kwao jamii ya kwao ni mtu hasahau kwao amewajengea shule watoto bure hakuna ada
Anafurahisha sana na anaongea na kila mtu sokoni sijui wapi kila mara yupo kwao Ghana

 
Tulio angalia muv za friday ice cube yupo mle mtamuona chek clip iyo juu[emoji115]
 
Alafu anafatilia yani,inamaana anakwenda mpaka huko kwao.angekua anaagiza tu kwa simu vitu visingefanyika angepigwa sana.huku Africa upigaji ndo kitu cha maana kwetu.

Hata kwenye ujenzi unaanza alikuwepo anaenda kila mara kanunua kabisa mjengo wa kuishi na mama yake anaishi pazuri sana kiukweli jamaa ni mfano wa kuigwa
 
kiukweli jamaa ni mfano wa kuigwa
Mfano wa kuigwa kujenga shule labda huko kwao Ghana. Hapa TZ tumechoka na kuongeza vyumba vya madarasa, kuchonga madawati na mashimo ya choo.

Tunataka kushughulika na equitable access to affordable quality education. Tufanyeje kuwezesha kila mtoto kusoma huko ambapo shule nzima inapata division 1.

Hayo hayawezi kushughulikiwa na mcheza mpira au mchekeshaji mmoja wa USA. Waafrika tunapenda kujishusha na kutegemea misaada.

Hiyo ni shule yake binafsi ya kutengeneza hela, sio msaada wa kushukuriwa na Taifa. Michael Blackson na Sadio Mane hawana hela wala upeo wa kielimu wa kutuzidi Waafrika kutatua matatizo yetu.
 

Jaribu kumpongeza hata kwa hicho ambacho unachoona kidogo kwako
We umefanya Kipi kwa jamii yako?
 
Jaribu kumpongeza hata kwa hicho ambacho unachoona kidogo kwako
We umefanya Kipi kwa jamii yako?

Tuwapongeze kwanza Watanzania kibao wa hapa hapa TZ ambao wamejenga shule kwa hela ngumu za madafu. Kwa nini tumshobokee foreigner kwa vile ni comedian wa USA ?

Think big.Tatuzi za shida za nchi zetu zitatoka humu humu ndani, sio kwa mchekeshaji mmoja wa USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…