Michael Blackson kajenga shule kwao Ghana

Wewe kama unawajua hao wabongo walijenga wafungulie uzi mi siwajui ningewajua ningewapongeza pia na sijasema atasaidia bongo
 
Marekani kuna pesa nyingi sana kwenyd entertainment industry. Nashauri mond aende nae akafanye shughuli zake huko. atapata pesa nyingi naye atakuja kukumbuka kwao kama hao jamaa.
 
Wewe kama unawajua hao wabongo walijenga wafungulie uzi mi siwajui ningewajua ningewapongeza pia na sijasema atasaidia bongo
Na mimi sijasema atasaidia Bongo. Nimesema mfano wake wa kuigwa aigwe huko huko West Afrika.

Huku kwetu tunataka kushughulika na mambo makubwa kielimu kuliko vyumba vya madarasa: Equitable access to high quality education.
 
Sasa mi Naongelea yeye kwa sababu ni maarufu
Ya bongo ningeona ningeandika pia
 
Sasa mi Naongelea yeye kwa sababu ni maarufu
Ya bongo ningeona ningeandika pia
Maarufu huko huko Ghana na USA.

Mwakaleli na Kilwa Sokoni hatujawahi kumsikia Michael Blackstone. Vichekesho vya Marekani hatuvielewi, havituchekeshi, na hatuna access navyo.

Na hatutaki na hatusubiri kujengewa shule na mchekeshaji wa USA. Tutajenga nchi yetu wenyewe. Tunahangaika na suala na viwango vya elimu, kumudu gharama, kupanua wigo wa wanaokwenda shule nzuri na maslahi ya walimu, sio vyumba vya madarasa na mashimo ya vyoo. Mchekeshaji wa Marekani haya hayajui na hayamhusu.
 
Safi sana ukipata uwezo fanya kitu kwaajili ya jamii yako ulipotoka sio unajenga msikiti au kanisa wakati yapo mengi mno
Kwani misikiti na kanisa si wanasali hao hao wana jamii?
Pia si vyema kumpangia mtu namna ya kutumia hela yake atakacho amuwa kujenga ni sawa iwe msikiti ,kanisa,shule au chochote atakacho ona kinafaa maana ni hela yake.
 
We nae angalia hili ni jukwaa gani? Nenda siasan kabishane huko
 
Sasa wewe unaishi isitimbi hayo mambo utayajuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…