Michael Jackson aoa MNYARWANDA

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Jamaa kaamua kuoa baharia wake....safi sana

Shes actually pretty, IMO.

:lol:

:lol::lol:
 
samahani admin peleka kwenye ENTERTAINMENT

nimejisahau kidogo hapo
 
Its just a rummor, grace has not finalized her marriage with Stacey Adair.
 
Mhh hili jamaa kama vile limechizi.
Sasa haya matoto kuyafunika sura na yeye kuwa kafunika sura utafikiri lina plan ya kuwala siku ya christmas.

Hawapati hata hewa ya kuvuta vyema...sijui mwisho wake ni nini kama huu umeshidwa kuisha...

Angekuwa bado tajiri wa 14 dunia si dhani angekuwa anaficha sura yake hivyo.
 
Hivi wana JF,
Kwanini Micheal anaficha sura za wanao kwa kiasi hicho? Why? Kwa nini?
Kuna mwana JF aliyewahi kuona picha inayoonyesha sura y(z)a m(wa)toto wa huyu 'bwana'?

Kuweza kuficha sura za watoto wake kwa kipindi chote ni kipaji.
 
..anawatia kilema,hawatakuwa sawa hao!
 
Yaani baada ya kufilisika ndio ameona mwanamke wa kiafrika ni mzuri?? baada ya wazungu kumwona si mali kitu!!!!!au dio anatafuta mapozeo na mtu wa kumliwaza asife peke yake?
Kweli hujafa hujaumbika, well tutaona itakavyokuwa kwa mdada wa kinyarwanda yeye ameshinda BINGO hongera dada, hold it tight.
 
1. I have great doubts as 2 whether it is MJ's blood running thru those kid's veins, watoto hawana hata ushombe! He can bleach his skin but his black genes ain't gone nowhere!
2. Covering 'em up lyk dat can really muck up their psych, si ajabu on top of that wanapewa home schooling-watakua social recluses!
 
1. I have great doubts as 2 whether it is MJ's blood running thru those kid's veins, watoto hawana hata ushombe! He can bleach his skin but his black genes ain't gone nowhere!
Injinia (hii inamanisha mhandisi? - joke),
Yule mmoja wa kike anaonekana mzungu 100% hadi nywele! Watakua wamesahau kuficha nywele.. LOL.

Anyway guyz.. do u think the man (MJ) is ok in the head? I doubt that.
 
Nafikiri kati ya wajinga wa karne hii ni MJ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…