Ni alien auMichael Jackson hakutoka dunia hii, ni wa kipekee na ataemdelea kuwa hivyo.
nilikuwa sijawai kumsikiliza make kavuma kipindi niko mdogo na wakati sijazaliwa leo youtube ndo imenifumbua macho kwanini anaitwa mfalme a5 popMJ ni moja kati ya binadamu wachache sana dunia hii wenye vipaji vya hali ya juu sana.
Nasikiliza muziki wake kwa sikio la tatu.
Ubunifu wa kiwango cha juu.
Ukisema alikua na kipawa cha kuimba na kucheza nakuelewa, ukisema alikua na akili sana sikuelewi, hakua na akili yoyote.Pamoja na mapungufu yake mengi, MJ ni mmoja kati ya wanadamu wenye akili na kipawa cha hali ya juu kuwahi kuishi duniani.
The weeknd role model wake ni MJJaribu kumfatilia the weeknd ndo utajua
Mapungufu kama yapi?Pamoja na mapungufu yake mengi, MJ ni mmoja kati ya wanadamu wenye akili na kipawa cha hali ya juu kuwahi kuishi duniani.