Michael Jackson hajawai kuwa na wa kumfananisha naye

Jamaa anangoma INA itwa stranger in Moscow...they don't care about us"" Billie jean"" don't stop untill you get enough""
just wanna be starting something...
Liberian girl..human nature ..dangerous"..I'll be there""'cry .."heal the world..black or white" who is bad..thriller "" blood of the dancing floor""
the way you make me feel ""
na nyinginezo "" kibaoooo""" yaani noma noma

mj ndio msanii wakwanza kuingiza ngoma tano mfulilizo katika top 5 ya top 100 ya billboard chat""na ndio msanii wa kwanza kushinda tuzo 8 za award ktik usiku mmoja"" na ndiye msanii wa kwanza aliyeweza kuweka rec.ya mauzo ya album " mpka leo na bado haijavunjwa""
video yake ya thriller ndio video iliyoongozwa kutazamwa na watu wengi mnooo duniani kwa siku ya kwanza tu ilipoachiwa"".....

sijawahi kuona mpinzni wa Mj Mpka sasa inshort Jamaa hakuwa mtu wa kawaida
 
Biti ya nyimbo ya Chris brown ya she ain't you inafanana kabisa na human nature ya mj
 
Bean is the G.O.A.T
 
nilikuwa sijawai kumsikiliza make kavuma kipindi niko mdogo na wakati sijazaliwa leo youtube ndo imenifumbua macho kwanini anaitwa mfalme a5 pop
duuh kumbe wew dogo sana,, halafu umeangalia clips za hovyo MJ alikuwa si wa kawaida
 
Kuna kitu kinaitwa IN THE CLOSET, biti tu lazima udate.
 
Kuna kitu kinaitwa IN THE CLOSET, biti tu lazima udate. Mpaka leo sijajua My favorite song ya MJ, karibu zote zanishika vibaya mno, kuanzia WHO'S LOVING YOU mpaka YOU ROCK MY WORLD.
Ni shida!
 
Biti la WHO IS IT, lazima udate!, ukilisikiliza ktk mziki mnene, utawakubali pia producers wake. The best works with the best!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…