Stranger in Moscow
Black Or White
The way you make me feel
Heal the World
Man in the Mirror
Who is it (Hapa aliimba 😂)
Don't stop till get enough
Do you remember the time
Thriller
Billie Jean.
Sema zikavuja stori mitaani, wengine wanadahi yupo mahali anaishi.Mara wengine wanasema Wacko Jacko Original alikufa kitambo, ila yule wa 2009 ni Clone yake.
Madahi ya Clone kama yanavyosogezwa kwa Mkali wa Rap - Eminem, naye inadaiwa huyu wa saizi ni Clone, yule wa Kitambo aliuawa siku nyingi.
Ila kwakuwa ni maneno ya watu wa Conspiracy naweka msimamo wangu kati. 😎