barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 149
hold my hand ft akon[emoji39][emoji76][emoji76]Ngoma gani ilikufanya useme Michael Jackson ni moja kati Msanii bora kuwahi kutokea.
Mimi---Thriller[emoji119][emoji119][emoji119]
Vipi kuhusu ww mdau.
#forgive Me
View attachment 2103023
π Stack in the middle...Human nature, wanna be starting something
GuguNaomba kujua director wa video ya thrieller
πππππππππDont stop till you get enough
kuna jamaa mshikaji wangu kipindi kile MICHAEL JACKSON amefariki tukawa tunamjadili maskani
akapayuka wanamsifia tu sijaona nyimbo yoyote kali kama wanavyomsifia
siku akaja gheto kipindi mp3CD ndio habari ya mjini kuplay kwenye deki ya DVD halafu nyimbo zitokea list kwe TV la chogo unaselect tu remoti
basi bana nikaunganisha na AUX nilikuwa na kinu cha maana cha KENWOOD cha vipande vinne halafu kina equlaiza basi bana nikaiset mbala mwezi
nikaiplay hiyo ngoma mzee
akawa anatingishaa kichwa huku anasema dah hii nyimbo naipenda inanikumbusha kitambo sana
nikamuuliza " unajua kaimba nani"
akajibu " hata sijui me naielewa tu ngoma kali"
.nikamuambia sasa huyo ndo JACKO na ana ngoma zingine kali zaidi nikaanza kumpigia moja baada nyingine
basi bana mpk kesho anamkubari MICHAEL JACKSON kinoma