Michael Jackson

Dah...! Huyu Jamaa aliwahi Kuja Tanzania Akadai 'Eti' Tanzania Inanuka..!
Hakika WaTz hawatamsahau.
 
Ngoma karibu zote nilizoskia za jamaa nazikubali.
Ni moja kati ya wasanii wa muziki, mchizi alifanya mziki kweli.
 
YOU rOCK mY wORLD

naipenda kwakua ni mkono wa Rodney DarkChild
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…