Napenda walivyofanya na the song… it is so Michael ingawa he is not there.. about the song… sijui…. ndio ni mzuri lakini sio ileeeee kama baadhi ya nyimbo zake zilivyo kali…
sitashangaa kama tutaendelea kupata nyimbo za michael ambazo hazikuwahi kutoka na hatukujua kama zipo even miaka kumi from now...., just kama ilivyokuwa Tu-Pac na Bob Marley