Michael Martin aitabiria Arsenal Ubingwa

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Michael Martin asena utabiri wake kwa Arsenal haujahusisha usaili wa mtu yeyote.

Mwingereza na mtu pekee aliyeitabiria ubingwa Leicister City msimu wa 2015/16 na Kuitabiria Chelsea 2016/17 na kufanikiwa kwa asilimia 100
Amesema utabiri wake hauja uhuisha usajili bali ameliona wingu la dhahabu Emirates. Michael Martin alijitengenezea jina baada ya Leicister kuibuka mshindi akiwa ni mtu pekee aliyeitabiria timu hiyo alisema
"Mimi ni mnajimu sio mtu wa soka ingawaje napenda soka na utabiri wangu nauelekeza kwenye Soccer"
Ukiniuliza ni mchezaji gani asajiliwe ili utabiri wangu utimie siwezi kujua(akiwa anacheka). "Ila kiunajimu Arsenal ndio mabingwa msimu ujao wingu la dhahabu linang'ara kwao"

Arsenal ipo ktk mzozo na Nyota wao wawili SANCHEZ na OZIL lakini Michael Martin haoni utabiri wake kuvurugwa na ilo. "Mmmh Sijui kama watabaki au wataondoka ilo sijaliangalia. Ila ata km wataondoka kesho au kesho kutwa utabiri utasimama hivi hivi". Arsenal imeshamnasa Alexandrar Lacazette na Wenger amethibitisha kumfukuzia Riyadh Mahrez, Thomas Lemar
Kitu kinachofanya kuonekana kuifanya Arsenal kuwa tishio zaidi eneo la katikati wakuwa uwepo wa Ozil,Xhaka,Coquelin,Ramsey,Carzola na wengineo utafanya Mahrez ku fit kirahisi kwenye mfumo wa 3:2:3:2, au 3-4-3


Tumuachie mtihani huu Mr. Michael Martin, Kama ataendelea kuwa mbabe wa utabiri EPL. Ama atachemsha kwa mara ya kwanza.


YHWH IS GOOD
 
KUWAZA UBINGWA UKIWA NA WENGER NI SAWA NA KUSUBIRI MELI JANGWANI

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Ngoja tusubiri

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
KUWAZA UBINGWA UKIWA NA WENGER NI SAWA NA KUSUBIRI MELI JANGWANI

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Usisahau kuwa alishachukua EPL 3 na FA 7 achilia mbali vingao vya jamii... Pia kacheza fainali moja ya Champions league!
Ameiongoza Arsenal katika mazingira magumu kiuchumi lkn akifanikiwa kufuzu michuano ya vilabu bingwa ulaya kwa miaka karibu 20 mfululizo...huku akiisaidia timu yake kujenga uwanja wa kisasa..
Huyu ndiye kocha aliyechukua ubingwa wa EPL pasipo kupoteza hata mchezo mmoja...
Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni..
 
Hapo ndo kachemka..... Wenger hawezi kuleta silverware ya EPL Emirates.....!!!
 


Who is Michael Martin??
 
Mmpaka Wenger aondoke labda lakini huo utabiri wa uongooo

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Next year may co mbali

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
We si msabato ,kwahiyo ramri kwako ruksa ukatoliki ndio haramu?
 
Ni MTU pekee aliyetabiri Leicester kuchukuwa EPL kabla ya msimu kuanza...Chelsea pia..mnajimu nguli
Sio sababu tujiliwaze tu, kwan ata UEFA hakuna aliyekuwa amewai kuichukua mara mbili mfurulizo Madrid kafanya ivyo ata utabiri utagonga mwamba ivyo ivyo Kwan ata Liverpool wakati ligi inaanza haikuwekwa top 4

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huyo kocha wa Man u angeongoza timu kwa bajeti ya Wenger ingeshuka daraja

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki wa arsenal wamepata pa kushushia hasira zao msimu utakapo isha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…