Sisi hatumdai ila ni wananchi wa Kisesa pekee ndio wanamdai maana tumesikia kauli ya Mheshimiwa Mbunge kuwa wanamdai basi wasikilizwe
Mimi mbunge wangu kasema hatumdai, hivyo kura yangu ntampa Mama asubuhi tu.
Ila wananchi wa Kisesa wasikilizwe ombi lisiwe sababu ya kukasirikiwa, wapewe mahitaji yao