Michael Richard Wambura amfuata Malinzi rumande

Michael Richard Wambura amfuata Malinzi rumande

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la soka nchini TFF Michael Richard Wambura amefikishwa Mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo amesomewa mashitaka 17,yanayohusiana na ubadhirifu na matumizi mabaya ya Madaraka,pamoja na utakatishaji wa Fedha.

Leo asubuhi kupitia wakili wake anayefahamika Kwa jina la Muga alitangaza Michael kuanzia leo ameachana na soka.Inasemekena alikamatwa na Takukuru

Kwamakosa yake hana dhamana na amepelekwa rumande.

Naona Karia kashinda mechi hii
FB_IMG_1549889589384.jpg
 
Back
Top Bottom