Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la soka nchini TFF Michael Richard Wambura amefikishwa Mahakama ya hakimu mkazi kisutu ambapo amesomewa mashitaka 17,yanayohusiana na ubadhirifu na matumizi mabaya ya Madaraka,pamoja na utakatishaji wa Fedha.
Leo asubuhi kupitia wakili wake anayefahamika Kwa jina la Muga alitangaza Michael kuanzia leo ameachana na soka.Inasemekena alikamatwa na Takukuru
Kwamakosa yake hana dhamana na amepelekwa rumande.