Michael Wambura avuliwa uanachama rasmi Simba SC

Michael Wambura avuliwa uanachama rasmi Simba SC

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hatimae yule mwanachama mlafi wa madaraka ambae amehukumiwa
na kamati ya tff kw akuotokuwa mwadilifu ktk uongozi wake akaamua
kuja kujaribu uadilifu scc amevuliwa rasmi leo uanachama wake na
kuanzia leo si mwanacham wa simba ...yoyote atakaejishugulisha na huyu bwana
kwa maslahi ya scc .uongozi autahusika nae ktk lolote wakalokubaliana

waslaam

mwenyekiti wa kamati
scc
dar es salaam
 
kesi tayari ipo mahakamani, mahakama haiingiliwi.
 
Kazi ipo karibu Manyema Rangers Bw Michael Wambura!
 
Mahakama imezuia kufanyika kwa uchaguzi wa club ya Simba mpaka tareh 31/5 kesi ya msingi ya Wambura itakaposikilizwa, na pia Mahakama imeuagiza uongozi wa Simba kutochukua hatua zozote dhidi ya Wambura hadi Mahakama itakapotoa uamuzi wa kesi hiyo.

Source: TBC
 
Back
Top Bottom