Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Sasa hivi ofisi zenye mamlaka zinatumia sana mamlaka hayo vibaya sana, sitashangaa kama hilo likiwa kweli.
Yameibuliwa Makosa ya 2004 wakati ni Katibu Mkuu wa Fat na Sio TffHii ni wakati yuko madarakani au ni baada..?
Leo Hii Malinzi Yuko Ndani Kwa Matumizi Mabaya Ya Madaraka Lakini Aliekuwa Makamu Wake ambae ndio M/kiti Wa Kamati Uchumi na Fedha Wa Tff Ndugu Karia Yuko Nje Anadunda
Sent using Jamii Forums mobile app
Makamu mahali popote na kwenye cheo chochote hana power ya kufanya lolote bila maelekezo ya bosi. Saa ingine ili kuzuia mwingiliano, makamu huwa haweki saini kwenye doc. zozote za maamuzi. Kumbuka pia Karia alikuwa katikati ya Wahaya wawili, Malinzi (chair) na Mwesigwa (GS). Kwa hivyo inawezekana alikuwa sidelined kwa kila kitu na ndicho kilichomuokoa (blessing in disguise)Leo Hii Malinzi Yuko Ndani Kwa Matumizi Mabaya Ya Madaraka Lakini Aliekuwa Makamu Wake ambae ndio M/kiti Wa Kamati Uchumi na Fedha Wa Tff Ndugu Karia Yuko Nje Anadunda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkono mrefu kutoka Chatto unagusa kila sehemu yenye ukinzani nae.shubamit!! kasalimu amri