Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Kwa mara nyingine zile hisia kwamba kila Michael Wambura akijitokeza mahali lazima mgogoro ulipuke..zimekuwa kweli.
Hivi TFF wasingemchuja kugombea bado angeenda mahakamani kupinga eti TFF haina mamlaka ya kusimamia bali yenyewe ni mtazamaji tu wa uchaguzi...
Achana na uongozi wa soka bwana, kwani wewe tu ndiyo unafaa..... kuna shughulu nyingine kibao za kufanya kwanza bado umri wako bado unadai, kajiffunze hata ukocha siyo lazima uwekiongozi wa simba....aagh.......na Simba ikifungiwa, utatutambua! usjije kukanyaga shamba la bibi!
Mambo ya soka yanaishia kwenye soka, hujui!? na bado untaka uongozi?
Kwani hao walichuja jina lake wanamuogopea nini? Kwa nini hafai kuongoza? Ktk hili TFF wamechemsha, kwani wangelipitisha jina lake na akagombea lazima angeshinda? Matatizo menginwe tunajtakiaga wenyewe halafu tunatafuta mchawi!
Mambo ya soka yanaishia kwenye soka, hujui!? na bado untaka uongozi?
Pamoja na uchu wa madaraka alionao bwana huyu nadhani hata TFF na SIMBA nao wameboronga sana katika mchakato huu wa uchaguzi. Nimejaribu kusoma sababu anazozitoa Wambura juu ya uamuzi wake wa kwenda mahakamani, sijaona tatizo. Huwa najiuliza kwani wanamichezo wanaogopa nini kwenda mahakamani? Si ndio mahala ambapo kikatiba unaweza kupata haki hata kama inahusu soka?
Lakini ndivyo wenye mpira wameamua yasiende huko....tufanyeje? tuamue kuuvuruga mpira mkuu?
Tatizo Wambura anapenda sana migogoro, kila anapotia mguu mahali kwenye michezo lazima azue migogoro...pia ni kweli alishawahi kupata ka kashfa ka kutokuwa muaminifu.....
Mkuu, kwenda mahakamani kunaweza kuleta madhara makubwa kwa soka letu kuliko madhara ya Wambura kukosa uongozi...
Wambura kama unapita huku, kilimo kwanza wewe nenda kalime si lazima uongoze soka!
MAsa, nawe ni mmoja wa wajumbe wa ile Kamati ya uchaguzi wa Simba/ TFF ambayo ilichuja mbu ikameza ngamia?
Mimi ni muasisi wa jangwani mkuu! Club Kubwa Tanzania.
Kwa mara nyingine zile hisia kwamba kila Michael Wambura akijitokeza mahali lazima mgogoro ulipuke..zimekuwa kweli.
Hivi TFF wasingemchuja kugombea bado angeenda mahakamani kupinga eti TFF haina mamlaka ya kusimamia bali yenyewe ni mtazamaji tu wa uchaguzi...
Achana na uongozi wa soka bwana, kwani wewe tu ndiyo unafaa..... kuna shughulu nyingine kibao za kufanya kwanza bado umri wako bado unadai, kajiffunze hata ukocha siyo lazima uwekiongozi wa simba....aagh.......na Simba ikifungiwa, utatutambua! usjije kukanyaga shamba la bibi!
Mambo ya soka yanaishia kwenye soka, hujui!? na bado untaka uongozi?
Kwa mara nyingine zile hisia kwamba kila Michael Wambura akijitokeza mahali lazima mgogoro ulipuke..zimekuwa kweli.
Hivi TFF wasingemchuja kugombea bado angeenda mahakamani kupinga eti TFF haina mamlaka ya kusimamia bali yenyewe ni mtazamaji tu wa uchaguzi...
Achana na uongozi wa soka bwana, kwani wewe tu ndiyo unafaa..... kuna shughulu nyingine kibao za kufanya kwanza bado umri wako bado unadai, kajiffunze hata ukocha siyo lazima uwekiongozi wa simba....aagh.......na Simba ikifungiwa, utatutambua! usjije kukanyaga shamba la bibi!
Mambo ya soka yanaishia kwenye soka, hujui!? na bado untaka uongozi?
Kama wamempitisha Rage ambaye kuna ushahidi kuwa aliwahi kutiwa hadi hatiani na mahakama kwa dhana ya uadilifu kwa nini hawakumpitisha Wambura ambaye hilo suala la uadilifu ni fununu/tetesi ambazo hazijawahi hata kuthibitishwa? Mimi naona hao jamaa kuna kitu wanamuogopa Wambura, ni vema wangempambanisha ili wanachama waamue.
TFF wanafanya makosa mawili, kwanza hawamtendei haki Wambura lakini mbili hawawatendei haki wanachama kwa kutowapa wigo mkubwa wa kuchagua viongozi wao.
Sijui ni uvivu wa kufikiri au basi tu ndivyo tulivyo. Kwa ufahamu wangu Rage alishinda rufaa yake dhidi ya hukumu iliyompeleka Ukonga http://www.tanzaniasports.com/?p=352. Kwa mantiki hiyo Rage hajawahi kupatikana na hatia yoyote na hivyo kuwa huru kugombea uongozi Simba. Kwa Wambura sote tunatambua kilichotokea alipokuwa TFF.
Yaani ulitaka TFF iwape wigo mkubwa wanachama wa Simba wa kuchagua viongozi hata kama hawana sifa?? Katiba ya Simba ipo wazi kuhusu sifa za mgombea nafasi ya uongozi na kwa vile Simba ipo chini ya TFF na FIFA basi ni lazima sheria zao zifuatwe pia.