Yote haya ni kwa sababu ya uchaguzi mkuu wa TFF wa December,2012......Kikatiba Leodgar Chilla Tenga hatagombea so anahitajika Rais mpya wa TFF.....Kuna watu wanaitaka kwa udi na uvumba nafasi hiyo na tishio kwao Ni Michael Richard Wambura......Hawataki Wambura agombee nafasi hiyo ndiyo maana wanajitahidi kwa kila wanaloweza kumzuia asigombee kwa kutoa sababu lukuki zisizo na kichwa wala miguu....
Inasiktisha sana kuona mtu makini kama Leodgar Tenga anaendekeza upuuzi na fitna hizi zinazofanywa na akina Angetile Osiah, Boniphace Wambura, Deo Lyato na wenzake........Hii ni aibu sana kwa 'Sir' Tenga........
Namuaminia sana Wambura,lazima awabwage tena kwenye sakata hili........Come December