Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kwa hilo kama liko sahihi !
NI sahihi na baadhi walimu wameshambiwa kwamba hela hiyo itakatwa kwenye mshahara mwez huu, nadhan wamezoea coz hata hela ya mwenge walikata, hela ya mei mos pia, haya ndo yanayojiri wilayan humo,

Tatizo mlisinzia zile za awali za mwenge walichukua mkawa kimya na ndo maana sasa wanajiamulia kuchukua kama zao, zile za awali mngeonyesha reaction hizi za sasa wasingeleta upuuzi kama huu