Michango isiyo ya hiyari kwa walimu wilaya ya kilolo

snag

Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
18
Reaction score
1
WALIMU wa secondary wilayani KILOLO wametakiwa kutoa fedha tsh.10000 kila mmoja na sh.500 kila mwanafunzi kwa ajiri ya ujenzi wa maabara wilayani humu. taarifa zinasema kuwa fedha hizo zitakatwa moja kwa moja kutoka kwenye akaunti za walimu,CWT mko wapi?
 
Sidhani kwa hilo kama liko sahihi
 
Khaah ....kweli huu ni uonevu...kuna kazi una uhakika wa kupata ila ni uonevu mtupu
 
Sidhani kwa hilo kama liko sahihi !
NI sahihi na baadhi walimu wameshambiwa kwamba hela hiyo itakatwa kwenye mshahara mwez huu, nadhan wamezoea coz hata hela ya mwenge walikata, hela ya mei mos pia, haya ndo yanayojiri wilayan humo,
 
Mkuu wa wilaya ya kilolo na mkurugenzi ni mbwa wa kisasa iringa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…