Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Tabia ya kutuchangisha michango ya harusi halafu mnakaa mwezi mnaachana sio nzuri.
Acheni kuchezea hela zetu wakuu.
Kabla hamjaachana, fikirieni hela zetu na usumbufu mliotupa wakati wa ndoa yenu.
Acheni kuchezea hela zetu wakuu.
Kabla hamjaachana, fikirieni hela zetu na usumbufu mliotupa wakati wa ndoa yenu.