Linguistic JF-Expert Member Joined Mar 16, 2021 Posts 3,669 Reaction score 8,268 Nov 3, 2022 #1 Tabia ya kutuchangisha michango ya harusi halafu mnakaa mwezi mnaachana sio nzuri. Acheni kuchezea hela zetu wakuu. Kabla hamjaachana, fikirieni hela zetu na usumbufu mliotupa wakati wa ndoa yenu.
Tabia ya kutuchangisha michango ya harusi halafu mnakaa mwezi mnaachana sio nzuri. Acheni kuchezea hela zetu wakuu. Kabla hamjaachana, fikirieni hela zetu na usumbufu mliotupa wakati wa ndoa yenu.