Michango ya AZAKI 16 inayoingia kama fedha za kigeni ilikuwa ni Bilioni 236.
Kiwango hiki ni sawa na Kilo 2,181 za dhahabu zingesafirishwa kwenda nje, au Watalii 42,316 wakae nchini kwa wiki moja au Lita 247 millioni za petroli, dizeli na mafuta ya taa
Kiasi hiki kinadhihirisha ni kwa kiasi gani AZAKI ni wadau muhimu wa maendeleo na kukuza uchumi wa nchi