Michango ya Kumchangia Sabaya iliishia wapi?

Michango ya Kumchangia Sabaya iliishia wapi?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kuna watu walianzisha kampeni ya kumchangia Sabaya ili kumuwekea Wakili "mkali" kabisa na kwamba walitaka kukusanya kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya kwenda kumtembelea.

Mmeishia wapi? Mlikusanya kiasi gani? Maana kama Wakili mliyempata ndio kashauri Sabaya aseme Yale aliyoyasema basi mtakua mmetupiga ile pesa yetu Wallah.

Tunaomba updates please
 
Back
Top Bottom