Tuliposema mchango wa Lissu ni utapeli wa kuzima ishu yake ya kuomba Gari kutoka kwa CCM watu waliona ni jambo la uzushi tu.
baada ya kuvuja taarifa ya Lissu kuomba Nissan Y622 walikuja na kampeni ya michango ya kumnunulia Lissu gari jipya la kuzima ishu ile ionekane ni uzushi.
Taarifa ni kwamba kiwango kile kilichochangwa kimeliwa na gari ya Lisu inayotakiwa kuwa makumbusho kwasasa ipo gereji inarekebishwa milango na interior design ya kushona cover mpya za seat.
Walivhokifanya Lissu na Maria wameshirikiana kuwatapeli watanzania kukusanya mchango wa kununua gari na kupotelea hewani.