Rubbish.Tuliposema mchango wa Lissu ni utapeli wa kuzima ishu yake ya kuomba Gari kutoka kwa CCM watu waliona ni jambo la uzushi tu.
baada ya kuvuja taarifa ya Lissu kuomba Nissan Y622 walikuja na kampeni ya michango ya kumnunulia Lissu gari jipya la kuzima ishu ile ionekane ni uzushi.
Taarifa ni kwamba kiwango kile kilichochangwa kimeliwa na gari ya Lisu inayotakiwa kuwa makumbusho kwasasa ipo gereji inarekebishwa milango na interior design ya kushona cover mpya za seat.
Walivhokifanya Lissu na Maria wameshirikiana kuwatapeli watanzania kukusanya mchango wa kununua gari na kupotelea hewani.
Sijui huko CCM kuna chuo maalum cha kusomea ujinga!!??Kaenda kulipia pango na matibabu ubelgiji!
Uliza uambiwe!Sijui huko CCM kuna chuo maalum cha kusomea ujinga!!??
Huu tena ni ujinga... Wewe hujaona alama ya kuuliza kwenye bandiko langu...???Uliza uambiwe!
Alama ya kuuliza inatakiwa iwe moja zikiongezeka inabadili maana!Huu tena ni ujinga... Wewe hujaona alama ya kuuliza kwenye bandiko langu...???
Zamani kilikuwa kivukoni, sasa hivi wamejengewa kipya Kibaha.Sijui huko CCM kuna chuo maalum cha kusomea ujinga!!??
Inakuwa na maana gani??Alama ya kuuliza inatakiwa iwe moja zikiongezeka inabadili maana!
Kabiiiiiiiiiisa yasiwaumize kichwa
Kipara tako!Kaenda kulipia pango na matibabu ubelgiji!
Alikutapeli mbususu!?Lisu ni tapeli mkubwa ndiyo maana hata watu wanaomwamini huwa ni wajingawajinga tu
Ule mwenge ni zindiko anza kumfatilia fisi mpya aliejiunga juzi!Sijui huko CCM kuna chuo maalum cha kusomea ujinga!!??