Michango ya Ole Sendeka

Incredible

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,031
Reaction score
1,603
Kila nikisoma magazeti na blogs mbalimbali nakutana na neno "mbunge Ole Sendeka kasema hivi". Sasa najiuliza kwani wajumbe wengine hawapewi nafasi, au ni waoga wa kusema? Nini ni tatizo hapa?
 
Ngoja wadau waje, maana huyu Mzee sijui kaahidiwa zawadi gani...!!!!
 
Tena analilia kama totojinga.Huo nao ni mchango kwa MiCCM
 
Mimi ninachojua kitu kikubwa sana Olesendeka alichochangia katika kuhakikisha kwamba kura ya wazi inapita ni Machozi yake !

Kila nikisoma magazeti na blogs mbalimbali nakutana na neno "mbunge Ole Sendeka kasema hivi". Sasa najiuliza kwani wajumbe wengine hawapewi nafasi, au ni waoga wa kusema? Nini ni tatizo hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…