zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Shule kama inawanafunzi.300 ukzdsha mara 4000,kama mchango wa bili ya maji?Huku Tanganyika michango ya namna hiyo ni kwa kila shule ya serikali (kata). Nawashangaa mnaoshangaa!
Shule kama inawanafunzi.300 ukzdsha mara 4000,kama mchango wa bili ya maji?
Zdsha mara 5000 pesa ya mlinzi..
Kuna mlinzi analpwa mil 1.5 shule ya kata hu si wizi