siansakala Member Joined Aug 12, 2012 Posts 75 Reaction score 10 Sep 2, 2012 #1 ni shilingi ngapi..natakiwa kutoa kukamilisha usajili jumla na hosteli,,?????SUA ni kama kaki 3 ivi...mie naogopa coz nipo DAR lakin life langu la kula mpaka nipige DEBE ni issue kichz
ni shilingi ngapi..natakiwa kutoa kukamilisha usajili jumla na hosteli,,?????SUA ni kama kaki 3 ivi...mie naogopa coz nipo DAR lakin life langu la kula mpaka nipige DEBE ni issue kichz
HOYANGA Senior Member Joined Jun 9, 2011 Posts 187 Reaction score 26 Sep 2, 2012 #2 NENDA website hii Welcome to DUCE utakuta matangazo yanakuleza kiasi gani unatakiwa kulipa kuanzia bei ya accomodation na mengineyo.
NENDA website hii Welcome to DUCE utakuta matangazo yanakuleza kiasi gani unatakiwa kulipa kuanzia bei ya accomodation na mengineyo.