4X4byfar
JF-Expert Member
- Oct 29, 2008
- 201
- 21
Jamani hamjambo wapendwa,
Najambo ningependa kupata michango yenu. Hivi mathalani mke/mume wamekasirishana ndani ya nyumba ikafikia kuambiana kwamba from now kila mtu ashike time zake wakati bado wapo kwenye makataba wandoa, wamefikia hatua ya kila moja kulala ubavu wake au separate room kabisa. Na haiwezekani kupata divorce mpaka pengine mke ajifungue (HII NI KWA NCHI ZA NJE NA SHERIA ZAO SIO TANZANIA) maana mme ndo kasema wa divorce wakati kosa ni lake la kudanganya then kwa hasira mke kamnasa kibao na kumbomolea simu yake!Hivi je, hapo haya yatokeapo ni sawa:
-Mume kutoka hm tuu bila kuaga then kurudi manane yuko bwi.
- Mke kusitisha kupika, kufua nguo za ndani za mwanaume.
Naombeni samahani sana,naomba maoni na sio matusi kama wengine walivyo humu ndani.