INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

Napata vp muongozo kabla na baada ya kununua miche.Muongozo km aina ya ardhi kutokana na aina ya zao na kufuatilia had zao linastawi especially km mm ambae sijawah kulima.
 
Napata vp muongozo kabla na baada ya kununua miche.Muongozo km aina ya ardhi kutokana na aina ya zao na kufuatilia had zao linastawi especially km mm ambae sijawah kulima.
Tuwasiliane inbox
 
Hass.Parachichi hizi zina sifa zifuatazo:

1.Zina mafuta mengi

2.Ganda lake ni gumu hivyo zinaweza kusafirishwa umbali mrefu bila kuharibika.

3.Zinatumika viwandani kutengeneza bidhaa mbalimbali.
 
asante mkuu kwa mrejesho.
Miche hii ina miezi 2
 
Tunatarajia kuongeza aina nyinginezo za miche ya matunda katika vitalu. Lengo ni kukidhi mahitaji ya wateja wetu.
Aina hizo zitakapokuwa tayari nitazileta hapa jukwaani.
Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…