Miche ya matunda ya muda mfupi

Miche ya matunda ya muda mfupi

MOMPRENEUR

Senior Member
Joined
Jun 18, 2016
Posts
195
Reaction score
126
*ryzer agro products*
*ni wazalishaji wa miche aina zote za matunda,maua pamoja na miti ya mbao na urembo...*

Karibu sana kwetu ujipatie miche ya matunda ya muda mfupi.Tuna miche ifuatayo:-
Nazi miaka mitatu tsh.7000
Zaituni miaka miwili tsh.5000
Ndizi miezi 7 tsh.3500
Fenesi,korosho miaka miwili tsh.3000

Pia tuna *miembe*michungwa*,pera,parachichi,limao,ndimu,chenza,mbilimbi,*topetope,stafeli,cocoa( huzaa ndani ya miaka miwili) kwa tsh.2500
*Strawberry* mwezi mmoja kwa tsh.2500
Tunapatikana Sua morogoro na tunatuma popote Tanzania.Malipo ni baada ya kupokea mzigo wako.
Ukihitaji tuwasiliane namba *0653405342*.
*Nyote mnakaribishwa*
IMG-20190918-WA0004.jpeg
IMG-20190915-WA0003.jpeg
IMG-20190914-WA0032.jpeg
IMG-20190914-WA0026.jpeg
IMG-20190914-WA0008.jpeg
 
*ryzer agro products*
*ni wazalishaji wa miche aina zote za matunda,maua pamoja na miti ya mbao na urembo...*

Karibu sana kwetu ujipatie miche ya matunda ya muda mfupi.Tuna miche ifuatayo:-
Nazi miaka mitatu tsh.7000
Zaituni miaka miwili tsh.5000
Ndizi miezi 7 tsh.3500
Fenesi,korosho miaka miwili tsh.3000

Pia tuna *miembe*michungwa*,pera,parachichi,limao,ndimu,chenza,mbilimbi,*topetope,stafeli,cocoa( huzaa ndani ya miaka miwili) kwa tsh.2500
*Strawberry* mwezi mmoja kwa tsh.2500
Tunapatikana Sua morogoro na tunatuma popote Tanzania.Malipo ni baada ya kupokea mzigo wako.
Ukihitaji tuwasiliane namba *0653405342*.
*Nyote mnakaribishwa*View attachment 1210450View attachment 1210451View attachment 1210452View attachment 1210453View attachment 1210454
Asante kwa hili. Baada ya kununua miche kutoka kwenu kuna huduma aya elimu juu ya upandaji na uangalizi au ukiniuzia basi!? Nieleze kidogo juuya strawberry. Inastawi Pwani ya Rufiji na nahitaji miche mingapi kwa EKARI moja?
 
Huduma ya elimu utapewa.Kwa pwani labda uwe na greenhouse tofauti na hapo itakusumbua.
 
*ryzer agro products*
*ni wazalishaji wa miche aina zote za matunda,maua pamoja na miti ya mbao na urembo...*

Karibu sana kwetu ujipatie miche ya matunda ya muda mfupi.Tuna miche ifuatayo:-
Nazi miaka mitatu tsh.7000
Zaituni miaka miwili tsh.5000
Ndizi miezi 7 tsh.3500
Fenesi,korosho miaka miwili tsh.3000

Pia tuna *miembe*michungwa*,pera,parachichi,limao,ndimu,chenza,mbilimbi,*topetope,stafeli,cocoa( huzaa ndani ya miaka miwili) kwa tsh.2500
*Strawberry* mwezi mmoja kwa tsh.2500
Tunapatikana Sua morogoro na tunatuma popote Tanzania.Malipo ni baada ya kupokea mzigo wako.
Ukihitaji tuwasiliane namba *0653405342*.
*Nyote mnakaribishwa*View attachment 1210450View attachment 1210451View attachment 1210452View attachment 1210453View attachment 1210454
Hapo kwenye Miembe, michungwa, pera, parachichi, limao, chenza, topetope stafeli nitakutafuta fasta.
 
Dah mara ya mwisho kuja mitaa ya S.U.A ni miaka ya 80 nilikuwa naenda kuogesha mbwa josho,Nikiibuka tena pande hizo nakuja kuchukua miche mingi tu.
 
Mikorosho miaka miwili ni uongo....mimi ni mdau wa korosho na ninawasiliana karibu na watu wa utafiti TARI NALIENDELE MTWARA ila sijawahi kusikia..ila ya miaka 3-4 ipo.
 
Nahitaji michungwa na nazi kwa ajili ya kupanda k/sarawe Ila swali langu ekari 1 nahitaji miche mingp ya minazi & michungwa?
Nijibu niko serious!
 
Back
Top Bottom