MOMPRENEUR
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 195
- 126
- Thread starter
-
- #21
Karibu tuwasilianeNipo Arusha nahitaji mwembe ..mpapai
Karibu sanaHapo kwenye Miembe, michungwa, pera, parachichi, limao, chenza, topetope stafeli nitakutafuta fasta.
Karibu sanaDah mara ya mwisho kuja mitaa ya S.U.A ni miaka ya 80 nilikuwa naenda kuogesha mbwa josho,Nikiibuka tena pande hizo nakuja kuchukua miche mingi tu.
mzaituni arusha unastawi mkuuKaribu sana
Yote hapo inakubaliHebu niambie, kigamboni naweza kupanda nini kati ya mimea hiyo