Arise farms ni wauzaji wa miche bora ya mbao na matunda kwa gharama nafuu.Mwenye kujua wapi miche ya mitiki inapatikana.
Nahitaji kwaajili ya kwenda kupanda kwenye shamba langu lililopo Mwanza.
Na wale wataalamu wa hichi kilimo cha mitiki kinaweza kukubali katika ardhi ya Mwanza?
Na mwenye utaalamu zaidi na ushauri pia naomba.
Mkuu vipi baishara bdo ipo?Arise farms ni wauzaji wa miche bora ya mbao na matunda kwa gharama nafuu.
Ukihitaji miche ya mitiki hata laki moja utaipata kwa wakati.
Bei za miche.
Mtiki ( Tectona grandis) sh. 400/;mche.
Mtiki mweupe ( white teak) sh. 500/mche.
Papai ( red papaya- Malkia F1). Sh.5000.
Vile vile aina mbali mbali za miche.
Tunasafirisha mikoa yote ya Tanzania bure.
Tunapatikana kilombero- morogoro na kibaha- pwani
WhatsApp/call/text.
0766006128
0655715184
Mkuu vipi baishara bdo ipo?