S Sally Member Joined Feb 25, 2008 Posts 42 Reaction score 0 Apr 13, 2012 #1 Natafuta miche ya nazi kwa ajili ya kupanda. Ningeshukuru kupata mbegu ile ya muda mfupi.Naomba mwenye kujua wapi zinapatikana anijulishe aniPM
Natafuta miche ya nazi kwa ajili ya kupanda. Ningeshukuru kupata mbegu ile ya muda mfupi.Naomba mwenye kujua wapi zinapatikana anijulishe aniPM
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Apr 14, 2012 #2 Sally said: Natafuta miche ya nazi kwa ajili ya kupanda. Ningeshukuru kupata mbegu ile ya muda mfupi.Naomba mwenye kujua wapi zinapatikana anijulishe aniPM Click to expand... Taja offer yako nikuletee miche ya miaka 10 unakula nazi safi nina miche mingi sana!
Sally said: Natafuta miche ya nazi kwa ajili ya kupanda. Ningeshukuru kupata mbegu ile ya muda mfupi.Naomba mwenye kujua wapi zinapatikana anijulishe aniPM Click to expand... Taja offer yako nikuletee miche ya miaka 10 unakula nazi safi nina miche mingi sana!
S Sally Member Joined Feb 25, 2008 Posts 42 Reaction score 0 Apr 15, 2012 Thread starter #3 Hiyo miaka 10 ni mpaka ianze kuzaa? Muda gani inaanza kuzaa na unavuna kwa muda gani? Niko Dar Es Salaam niambie unauzaje
Hiyo miaka 10 ni mpaka ianze kuzaa? Muda gani inaanza kuzaa na unavuna kwa muda gani? Niko Dar Es Salaam niambie unauzaje