Habari poleni na majukumu
Tunayo Miche bora ya strawberry aina ya Chandler
Ni hybrid ndani ya miezi 3 Inaanza kuzaa matunda
Kwa ushauri namna ya kufanya kilimo hiki pia tuchek
0769269630
Ishu sio kustawi ishu ni uzaaji
Kwa mikoa ya pwani Chandler ndo inafanya vzr kuliko pajero na Trista
Kwahio aina hii ya strawberry inazaa kwa mikoa ya pwani