Michelangelo: Genius Aliyemtikisa Leonardo Da Vinci

plan z,
Vipi picha za wamisri wa kale watu wenye dunianyao embu fikiri kuhusu Ankh symbol picha za mafarao na sanamu zao
 
plan z,
Vipi picha za wamisri wa kale watu wenye dunianyao embu fikiri kuhusu Ankh symbol picha za mafarao na sanamu zao
Wamisri wamechonga ndiyo hata miili ya mafarao wao wamewachongea sanamu zao, lakini zile zanamu za wamisri ukiziangalia hazina veins, musles na bones. Ukiangalia sanamu za Michelangelo unaona uhalisia wa mtu halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo sijui tutaacha lini wizi wa kazi za watu, hii article Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa iliandikwa na Humble African mwaka 2018 humu humu jamii forum, ikanifanya Hadi naikubali JF na kuamua kuwa member. Hivi majuzi tena nimeisoma kwenye gazeti moja ikiwa Kama ilivyo bila mwandishi mwizi kucite source Wala owner.
Leo Tena na wewe umejimilikisha kama article yako Tena humu humu jamii forum.
Humble African njoo ukamate mwizi meen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu ina kera sana, unashindwa nini ku acknowledge the source
Mie nilidhani ni mfanano wa kichwa cha habari tuu, nakuta ni copy and paste halafu hamna lolote kuhusu source ya taarifa zake.
 
Historia ya Muafrika imedumazwa na kuchakachuliwa sana. Hata hapa Africa hasa nchini Egypt ma genius walikuwepo wengi na inasemekana ndo Hesabu(Mathematics) ilipoanzia. Hawa wazungu wametuibia teknolojia yetu na kuandika historia yoa. Ni kweli Da vinc alikuwa mtabe ila na hapa kwetu walikuwepo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tatizo Ni Kubwa Sana
 
Hata sisi Afrika tuna historia zetu za kuishangaza dunia,na tulikuwa na wachoraji na wachongaji zaidi ya hao,sema hatukuweza wala hatuna tmaduni za ku document kazi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…