Michelle Obama And Her Daughters Visit The Great Wall Of China

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


This is a great view Michelle Obama and her daughters will surely never forget.

The First Lady shared a snapshot with her girls Malia Obama and Sasha Obama visiting the Great Wall of China on Sunday.

"Sharing a moment at the Great Wall #FLOTUSinChina ," President Barack Obama's wife tweeted along with the picturesque photograph.

 
Ukubwa raha bhana. Ndio maana Edo anapatwa na mashinikizo ya damu kwa kuwaza kwenda ikulu. Hata ukiogelea kuna watu wataingia majini ili kukulinda wewe tu!!!!
 
mkuu Money Stunna hvy hao watoto wanasoma wapi maana wapo safarini kila mda ni heri tu moja wao angetulia na mimi
 
mkuu Money Stunna hvy hao watoto wanasoma wapi maana wapo safarini kila mda ni heri tu moja wao angetulia na mimi

Hao wanasoma sana kuliko wengine maana wanaenda shule,pia wana waalimi wao wanawafundisha nyumban hadi kwenye ndege kwa safari ndefu
 
Akina havintishi na mwalusembe nao sijui wataenda lini!? Tatizo list ndefu sana
 

Attachments

  • 1395721157560.jpg
    50.5 KB · Views: 1,322
mkuu Money Stunna hvy hao watoto wanasoma wapi maana wapo safarini kila mda ni heri tu moja wao angetulia na mimi

Hahahahahaah,,,, hao wanafanya home schooling wakiwa safarini afu wakiwa hawapo safarini wanaenda shule kama kawa.
 
Sipati picha siku jk nae afanye tour na watoto wake...
watu watajua tz kuna maandamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…