Namzimia sana huyu mama.. black, beautiful, tall, slender, fashionista, socialite, diplomatic ... but all above all, she is a beauty with the brain. Yaani, she is a full package
hahaaa! are u sure huku Africa hatupo. Hebu nitafute.. siyo mke wa prezidaa, lakini kwenye package yangu kuna vitu vinamzidi sana MitchelleYup..because she is an American.
Huwezi kupata package kama hiyo kwingineko.
Ni USA tu na ndo maana unamzimia.
USA baby .
hahaaa! are u sure huku Africa hatupo. Hebu nitafute.. siyo mke wa prezidaa, lakini kwenye package yangu kuna vitu vinamzidi sana Mitchelle
Namzimia sana huyu mama.. black, beautiful, tall, slender, fashionista, socialite, diplomatic ... but all above all, she is a beauty with the brain. Yaani, she is a full package
I like your analysis ya huyu mama. Nakubaliana na wewe mpendwa. She is just incredible in every way.
Hapana huyo mama ni wa Buhangija, Buhangija baby, Buhangija babyYup..because she is an American.
Huwezi kupata package kama hiyo kwingineko.
Ni USA tu na ndo maana unamzimia.
USA baby .
Ila ukweli wa mambo huyo mama wala siyo mzuri kivile.
Hizo sifa lukuki za uzuri anazomwagiwa ni kwa vile ni mke wa rais wa Marekani na alianza kusifiwa sana baada ya mumewe kuchaguliwa kuwa rais.
Wakati mumewe alipokuwa Seneta hakumwagiwa hizo sifa za uzuri.
Kila nikimwangalia siuoni uzuri wake. Hana sura nzuri...hata shepu ni ya kawaida sana.
She is also kinda flat chested.....in a nutshell...she's no beauty queen. Her looks are very pedestrian. She wouldn't even turn my hear based on her looks.
Mkuu mbona umeamua kutokumshobokea na kumzimikia kabisa huyo mremboo wa Obama. Ha ha haaah. But i gotcha bro !
Broo kiroho safi tu nauliza..Sijawahi kuona mchuchu mla vumbi mkali kama Michelle My Belle[emoji12] [emoji12] [emoji12]
USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631]
Ila ukweli wa mambo huyo mama wala siyo mzuri kivile.
Hizo sifa lukuki za uzuri anazomwagiwa ni kwa vile ni mke wa rais wa Marekani na alianza kusifiwa sana baada ya mumewe kuchaguliwa kuwa rais.
Wakati mumewe alipokuwa Seneta hakumwagiwa hizo sifa za uzuri.
Kila nikimwangalia siuoni uzuri wake. Hana sura nzuri...hata shepu ni ya kawaida sana.
She is also kinda flat chested.....in a nutshell...she's no beauty queen. Her looks are very pedestrian. She wouldn't even turn my hear based on her looks.
Broo kiroho safi tu nauliza..
Hivi uliyeandika haya maneno hapo juu ndio wewe huyo huyo ulietoa comment hii hapo chini?
Au ni watu wawili wenye Id zinazofanana?
...
Ahaa..!! Kumbe!! sikulijuaKunielewa mimi huwa inahitaji utulivu wa akili wakati mwingine.
Kujibu swali lako, ndiyo, huyo ni mimi niliyeandika hayo mabandiko uloyanukuu.
Una jingine?
Now you are talking. ........!Ila ukweli wa mambo huyo mama wala siyo mzuri kivile.
Hizo sifa lukuki za uzuri anazomwagiwa ni kwa vile ni mke wa rais wa Marekani na alianza kusifiwa sana baada ya mumewe kuchaguliwa kuwa rais.
Wakati mumewe alipokuwa Seneta hakumwagiwa hizo sifa za uzuri.
Kila nikimwangalia siuoni uzuri wake. Hana sura nzuri...hata shepu ni ya kawaida sana.
She is also kinda flat chested.....in a nutshell...she's no beauty queen. Her looks are very pedestrian. She wouldn't even turn my hear based on her looks.
Now you are talking. ........!