Michelle Obama Does Double The Prints In NYC.

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2009
Posts
13,164
Reaction score
61,255










Hapo akiwa at the United Nationals General Assembly akimsikiliza President Obama.
 
hapa akiwa kwenye kikao cha ile NGO ya Clinton Global Initiative.






 
hicho kimini hatari,wenziwe wote ziko magotini chake kipo juu!
 
hii thread inalengo gani au inafundisha nini jamani?nisaidieni maan sijaelewa lengo lake kuwekwa hapa.kama nguo ni nzuri,kavaa vizuri.mkutano sawa umefanyika kaudhuria,ngo ya clinton sawa ipo inafanya shughuli zake kama kawa,nisaidieni jamani kingereza nachenyewe shida yaweza kuwa ndo tatizo langu.
 
Hii thread inaongelea fashion. Double prints yaani chini kavaa skirt ya machorochoro au maua na juu vile vile kavaa blouse yenye machorochoro au maua ambayo hayajalingana na machoro/maua yaliyomo kwenye skirt

Ila sijui kama mtoa mada alielewa kilichokuwa kinazungiwa


btw .......the double prints look is a bit crowded for my liking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…