Michelle wetu kunani jaman!

Gaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,558
Reaction score
1,970
Jaman kunani michell kafanya nini mpaka wamembarn? tususe au tugome ili wamrudishe haraka? binafsi nam miss
 
Amelimwa ban? jana alinifurahisha sana kwa mitazamo yake na michango yake katika bunge.
free michelle please!!!!!!
 
Labda kaiomba . . . :coffee:
 
Jaman kunani michell kafanya nini mpaka wamembarn? tususe au tugome ili wamrudishe haraka? binafsi nam miss

Ameiomba mwenyewe kama alivyoomba Maria Roza wakati ule, na Afrodenzi kwa sasa.
 
tumpe muda.. Labda bado anatafakari yanayojiri huko dom...!
 
Aaaaa jamani kama kaomba si angetuaga basi
 
Mchelle kafungiwa lini? ni mstaarabu sna!! laa kahitaji huwezi jua!!
 
wamemban our Michelle... jamaniii.
 
Ni msimu wa Ban huu, ukiteleza tu.....ban!!
 
Jamani mbona kule kwenye siasa walichambana na rev na wengine kwa matusi na wao wamebanika?????
 
Amelimwa ban? jana alinifurahisha sana kwa mitazamo yake na michango yake katika bunge.
free michelle please!!!!!!

Si ile mada ya chadema kutoka nje? na wwe uliambiwa paulo usije kucheza na sisi una mikono michafu! hahahahaha umbea huu
 
Ameiomba mwenyewe kama alivyoomba Maria Roza wakati ule, na Afrodenzi kwa sasa.
Kama hii ni kweli basi mtu apigwe BAN la kutokupigwa BAN kwasababu kaomba BAN.. this is creating unneccessary work for MODS
 
......huyu alikuwa anachafua hewa kule kwenye mafrustration ya nchi!
 
Nilijua angepata BAN majibu yake ya jana yalikuwa makali. Ni kama alikuwa amevaa gloves. Nilikoswa sumbwi lake moja, kwa kuwa Rev ni mjanja wa kukwepa. Maisha yataendelea nadhani ile ID yake nyingine nimeiona sehemu ....yupo!
 
Kama hii ni kweli basi mtu apigwe BAN la kutokupigwa BAN kwasababu kaomba BAN.. this is creating unneccessary work for MODS
I dont think if its creating unneccessary work for MODS kama ukiomba BAN wakakupa, btw to BAN someone its just a matter of seconds if not minutes
 
hivi na kina MS a.k.a jeykey yupo wapi BAN alopigwa ni NOMAAAA but nam-miss na utumbo wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…