The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Masa kule bana baada ya kuchangia ilibidi nikae kimya maana kuna mtu anaitwa Topical was getting into my nerves nikaona bora kukaa kimya maana BAN yangu nilikuwa naiona nje njeNilijua angepata BAN majibu yake ya jana yalikuwa makali. Ni kama alikuwa amevaa gloves. Nilikoswa sumbwi lake moja, kwa kuwa Rev ni mjanja wa kukwepa. Maisha yataendelea nadhani ile ID yake nyingine nimeiona sehemu ....yupo!
I dont know Mkuu mimi binafsi huwa nikitaka BAN huwa ninasepa tu..., sasa hii ya kuomba BAN inaenda against the reason of Banning people BAN ni kama adhabu sio kumpa mtu likizo...,I dont think if its creating unneccessary work for MODS kama ukiomba BAN wakakupa, btw to BAN someone its just a matter of seconds if not minutes
Masa kule bana baada ya kuchangia ilibidi nikae kimya maana kuna mtu anaitwa Topical was getting into my nerves nikaona bora kukaa kimya maana BAN yangu nilikuwa naiona nje nje
Hahaha, Jana alikuwa anaambiwa UBWABWA, halafu ACID naye akamgonga nyundo nikaona akaanza kutuliaTopical ni kiboko! Mimi huwa namwambia anapenda ubwabwa basi anachukia mimi nasepa!
Hahaha, Jana alikuwa anaambiwa UBWABWA, halafu ACID naye akamgonga nyundo nikaona akaanza kutulia
Nini tena mamitoMiss u:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
AD..
Miss u:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
AD..
LOL:laugh:Si ile mada ya chadema kutoka nje? na wwe uliambiwa paulo usije kucheza na sisi una mikono michafu! hahahahaha umbea huu
Kwa mtindo huu ndo maana najikalia jukwaa la bondeni :sick::sick::sick:
Realman naomba niambie ni post gani ilileta mtafaruku na mimi nikaipitie