Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Akirudi mumshauri awe anabaki hapahapa MMU, kule jukwaa la siasa hapawezi, jana alitumia hasira kuliko hoja.
Ni vizuri abakie hapa kutupa injili(licha ya kwamba sijawahi muona akinakili kifungu cha Biblia kama Miss Judith); ila wakati fulani hata hapa huwa anawaka kwa hasira(ndani ya key board), si mchezo hasa ukienda tofauti na misimamo yake!
:laugh::laugh::laugh::laugh:We huwezi mshauri,you sound like a coward to me!!!
kama umemmiss mfate kwao,hana ubunifu ndo maana amekuwa bannedjaman kunani michell kafanya nini mpaka wamembarn? Tususe au tugome ili wamrudishe haraka? Binafsi nam miss
kama umemmiss mfate kwao,hana ubunifu ndo maana amekuwa banned
Wakuu maandamano yanaanzia viwanja vya mnazi mmoja saa kumi kamili msikose,uwepo wenu ndio mafanikio ya jambo hili.
Mchelle kafungiwa lini? ni mstaarabu sna!! laa kahitaji huwezi jua!!
Akirudi mumshauri awe anabaki hapahapa MMU, kule jukwaa la siasa hapawezi, jana alitumia hasira kuliko hoja.
Ni vizuri abakie hapa kutupa injili(licha ya kwamba sijawahi muona akinakili kifungu cha Biblia kama Miss Judith); ila wakati fulani hata hapa huwa anawaka kwa hasira(ndani ya key board), si mchezo hasa ukienda tofauti na misimamo yake!
Michelle said:Nasikitika kusema wabunge wa CHADEMA, kwa mlolongo wa matendo yao,hawako kwa maslahi ya nchi hii......wako kwa maslahi yao binafsi na ya chama chao....ni watu wa kukurupuka,wasio heshimu mawazo ya wenzao na waliokosa mikakati sahihi ya ku-deal na wapinzani wao.....zaidi ni waongo kama CCM na CUF,ni wafitini na wachochezi sana.....kwa matendo yao si watu wa kuamini....lolote na liwe mradi wao washinde....hatufiki!!!! Bunge haliwezi kukaa kutimiza mapenzi ya CHADEMA watakalo ndo liwe,nasikitika kusema UPINZANI WENYE MASLAHI NA WATANZANIA HAUJAZALIWA TANZANIA........tuna wenye njaa na tamaa tu katika vyama vya siasa......nazidi kujihurumia na kuwahurumia watanzania,kwakuwa sasa nimeona hakuna mwema.......nakaribisha matusi.......ila sitashabikia nisichokiamini kwa kuogopa kutukanwa JF
Michelle said:Inatia hasira ila si suluhisho kutoka nje ya bunge,kuna kutofautiana na kukubali kutofautiana,CCM bado ni wengi bungeni na kama ulivyoona kuna mapungufu ya kanuni.....CCM are taking advantage ya kanuni,zilizoundwa na wabunge wakiwemo hao wa CHADEMA hata kama CCM walikuwa wengi,lakini CHADEMA walishiriki na hawakutoka nje ya bunge.....wao wajijenge wawe wengi kuliko CCM wafanye mabadiliko ya kanuni lakini hili la kupindisha ukweli na kulazimisha maamuzi halitawezekana......leo humtambui Rais,kesho uliibiwa kura,kesho unasusia hotuba ya rais,mara unamtambua,husikilizi hotuba unakuja kuijadili.....what is wrong.......hawana consistency...na hii inafanya watu kukosa imani.......
Michelle said:Originally Posted by Rev Masanilo
Best vipi? Mbona hii ni kama crap vile!
Ni CRAP Best....ila ndo mtazamo wangu......
Michelle said:Mimi si mwanaume.....sijishtukii ila nimezoea tukitofautiana watu wanatukana.....kama bunge linatimiza matakwa ya CCM,kutoka nje ya Bunge au kususia sehemu ya kikao kunawafanya CCM wasipitishe matakwa yao? ndo suluhisho?mi sijaona cha maana ulichoandika,hiyo mifano uliyotoa hata class three wa primary school kule kijijini anajua....
Michelle said:Mi nipo sana hapa Best...sifanyi JOKES wala urafiki.....kila kitu na wakati wake......tuendelee kutofautiana tu lakini huna uwezo wa kunipangia nizungumze wapi na wapi nisizungumze......
Michelle said:Asante......hapa nipo sana.....hii ndo sekta yangu haswaa.....kwani tukitofautiana lazima mgombe....we toa hoja nami nitoe.....
Michelle said:Mbona hawakuhoji kuhusu hilo neno RASMI kwenye bunge la 9,excuse ni CUF ya wakati ule si ya sasa??? no no no.......i do not buy that....
Michelle said:Am also patriotic,hakuna chama perfect....and i agree CCM has to go, no doubt.... what i oppose is their approach of handling CCM.....
Michelle said:Asante Biggie......sina tatizo na tusi,nasubiri hoja yako.....
Michelle said:Hapo kwa nyekundu ndo nilichomaanisha.......sioni tofauti....labda umenielewa vingine...... Hapo bluu, sina umaskini wa kunifanya niume na kupuliza.....nazungumza ninachofikiri....huwezi nipangia niseme nini na nisemeje...nami pia siwezi......
Mkuu nimefuatilia posts zake zote kwenye ile thread sidhani kama alitumia hasira kuliko hoja. Tena alikuwa na hoja yenye uzito ila kuna baadhi ya wachangiaji hawakukubaliana naye. Posts zake hizi hapa, angalia kama kuna yoyote inayochafua hali ya hewa. She was just trying to be critical aganist Chadema.
Sasa kama haya ndio yaliyomfanya apate ban, then there is a lot of question to be asked. Labda awe ameomba ban mwenyewe. Hata kama ameomba ban, then meaning of ban becomes meaningless.
Muulize invisible.Ban ndo nini...:twitch:?
I dont think if its creating unneccessary work for MODS kama ukiomba BAN wakakupa, btw to BAN someone its just a matter of seconds if not minutes