Michelle wetu kunani jaman!



Na huo ndo ukweli,when you are critical of them unachafua hali ya hewa! mimi najua BAN kwa asilimia 80 inatokana na hilo la kuwa critical,10% ni kumuita mtu aliyeniita LUNATIC, kumuita ASS CLOWN.....mwenye kujua slang ataelewa kuwa it simply means someone behaving foolishly,kwa kuwa sikuwa nimemtukana mtu tangu mwanzo na watu walikuwa wanatoa hoja tunaelezeana,sasa sijui kubwa ni lipi kati ya Lunatic na Assclown manake yeye hakupewa BAN,asilimia 10% labda kuna shida kwenye uelewa wa neno assclown na mengineyo!!
 
Michele, pole mama pamoja na ukali wako lakini naona watu wanakupenda sana. Keep the fire burning
 
jaman kunani michell kafanya nini mpaka wamembarn? Tususe au tugome ili wamrudishe haraka? Binafsi nam miss

nilipewa ban,nafikiri wanipe na nyingine tu gaga,nilikumiss dada yangu na nakuombea,sisahau,i hope you are still strong and keeping up the faith.

thanks for this thread!
 

Bora umejifunza,mi uzuri wangu sitafutagi haki manake hakuna haki,labda kwa Mungu tu!Asante Muhosni!
 
Welcome back darling....babu missed you vibaya sana:clap2::clap2::clap2:

Babu,i missed you too!mjukuu huyu utakuwa unam- miss mara kwa mara,manake huo ndo mwanzo tu,wakati mwingine wowote naweza pokea nyingine!:laugh::laugh:
 

Siku nyingine usitukane tena Michelle wangu....haupendezi kutoa maneno makali.
Ukijibizana na chizi, we ndo unaonekana chizi zaidi.
Dawa ya chizi ni kumpotezea.

Ushauri toka kwa babu, ni amri............ sawa eh mama.
Haya karibu nyumbani tuendeleze upendo wetu.:clap2::clap2:
 
Babu,i missed you too!mjukuu huyu utakuwa unam- miss mara kwa mara,manake huo ndo mwanzo tu,wakati mwingine wowote naweza pokea nyingine!:laugh::laugh:

Please darling.... babu hapendi kukumisi.

Hebu ukuje huku nikufunde uwe mjukuu mtiifu kama wengine. Usijetukanana na mtu usiyemjua, jitu linakutusi kwenye screen, hujawahi kuliona na wala hulijui kwanini uhangaike nalo. Unalipotezea, maisha yanasonga mbele....Hizi keyboards hazina mamlaka ya kutupa mastress makubwa namna hii mpaka tunatukanana. Akikutukana, potezea huko, rudi kwa bbu mkate kucha zake na kumpa ugoro wake. Utabarikiwa na utakuwa na raha tele.
 

Sawa babu,kutukana si jadi yangu wajua,nitawapotezea tu hao machizi,watu wana njaa,na chuki zao hawawezi fikiri tofauti,kumbe unajua babu!
 
Bora umejifunza,mi uzuri wangu sitafutagi haki manake hakuna haki,labda kwa Mungu tu!Asante Muhosni!

Asante rafiki. Unajua mimi ndo kwanza jana nimefukuzwa kazi kuko Misri kutokana na hasira za wananchi wangu kwa hiyo now very sensitive na hasira. Kwa hiyo jaribu kidogo kutofautisha kutofautiana bila kuonesha hasira. VoiceofReason ndo kanishauri hivyo
 

Daaaaaa!!! Michelle missing you mamito. Cool!!!
 
Sawa babu,kutukana si jadi yangu wajua,nitawapotezea tu hao machizi,watu wana njaa,na chuki zao hawawezi fikiri tofauti,kumbe unajua babu!

Thats my girlie.......

Wakati mama yako anakuzaa, nilmwambia akupe jina la Michelle, akanitii. Hakika umefuata nyayo za mama yako....Utiifu.

Babu loves you coz we ni mtiifu. Dont tukana them chizissss!:clap2::clap2:

Halafu usisahau, ule mkongojo uliontumia umeshapinda, tafadhali ntumie mwingine.
 
Jaman kunani michell kafanya nini mpaka wamembarn? tususe au tugome ili wamrudishe haraka? binafsi nam miss
Kweli kabisa , I'm also missing Michelle's constructive ideas.
 

Siku hiyo ulikuwa umeshalala Babu,we wajua wazi ningekuja tu kukata hizo kucha na kukupa ugoro,kukosa kazi ya kufanya nikajikuta nimeenda tukanana na watu wenye kufikiri kwa hisia! nimekusoma Babu,mjukuu nimekuelewa kabisa!na nitajitahidi kuwa mtiifu!
 
Yeah...am god my dia...nasikilizia game letu na Wolves

Wale watoto sina hamu nao kabisa,wanaweza haribu mwezi mzima wa February ukawa mbaya!! tusubiri,i hope Wenger amewasoma hao watoto vizuri!!! yabidi tukomae sana hawashindwi kutufanya walichofanya MAN U, we keep the faith au sio?
 

Ahsante Michelle wangu,
Kusikia dua yangu,
Ubarikiwe na Mungu,
Uwe mjukuu bora.

Ushauri wasikia,
kisha watekelezea,
Maneno wayasikia,
Na kazi wayafanyia.

Nimekuweka moyoni,
Nakuweka maombini,
Wanga wasikufitini,
Uwe na nyingi staha.

Kama hiyo haitoshi, kamata na hii tena

The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…